Dira

Dira ya SHIRECU (1984) LTD ni kuwa Chama imara na endelevu kinachokidhi mahitaji ya kiuchumi na kijamii ya wanachama wake.