Dhima

SHIRECU (1984) LTD, ilijitahidi kuwa Chama Kikuu imara chenye kuunganisha Vyama vya Msingi vya Ushirika Mkoa wa Shinyanga ili kuviwezesha kuwa vyombo vya ujasiriamali imara vyenye kuleta maendeleo endelevu ya uchumi na ustawi wa jamii kwa manufaa ya wanachama wake.