Ziara ya Mwenyekiti wa Chama kikuu cha Ushirika SHIRECU Bi. Naomi M. Chaba katika baadhi za AMCOS zilizoanza kununua pamba msimu wa mwaka 2026/2027.
Lengo kuu ni kuendelea kuhamasisha kampeni ya “Linda Ushirika, Chagua Uadilifu” kwa viongozi wa Amcos wanapoendelea na biashara hii ya ununuzi wa pamba pamoja na kuwashauri Kuchagua mifumo rasmi ya masoko na Uadilifu kwa kutopokea pesa tasilimu kutoka kwenye Mkampuni ya ununuzi wa zao la pamba.