Shughuri Zetu

SHIRECU Kinajishughulisha na kazi zifuatazo, kwa mujibu wa mashart ya (By Law) yake:-

  1. Kununua pamba kutoka kwa wakulima kupitia vyama vyao vya msingi, chini ya masharti na sera zao huria.
  2. Kusafirisha/Kusomba pamba mbegu, pamba nyuzi, mbegu za pamba na mazao mengine (by products) ya pamba na pembejeo za kilimo kwa kutumia magari yake, kupeleka sehemu mbalimbali zinakotakiwa.
  3. Kusimamia na kendesha viwanda vyake 2 vya kuchambua pamba (ginneries) na kiwanda kingine 1 vya kusindika mafuta ya mbegu za pamba (oilmills).
  4. Kueneza elimu ya ushirika kwa wakulima, vyama vya ushirika wanachama, bodi za vyama vya ushirika na watumishi wake.
  5. Kununua na kuwauzia wakulima pembejeo kupitia vyama vyao vya ushirika vya msingi.
  6. Kuhamasisha wakulima kujiunga na vyama vya ushirika vya msingi.
  7. Kueneza elimu ya kilimo na ubora wa mazao kwa wanachama wake kwa njia mbalimbali.